Matukio ya Olimpiki; Riadha

  • 5.10pm, wanariadha wetu Vivian Cheruiyot, Alicenta Aprot and Betty Saina watakuwa uwanjani kuwania medali katika mbio za mita 10,000 akina dada kwenye mbio za Olimpiki, Rio de Jenairo,Brazil
  • Vivian anatarajia kuwapa wapinzani wake wa Ethiopia upinzani mkali na kutarajiwa kuishindia Kenya Medali ya kwanza kwenye mashindano hayo ya Olimpiki
  • Mwanariadha Alicenta Aprot na Betty Saina watachangia pakubwa kwa ushindi wa Kenya kwa kudhoofisha upinzani wo wote.
  • Aprot hajawahishindwa kwenye mbio za 10,000 za kina dada msimu huu na anararajiwa kuwania medali
  • 4.00pm Mfalme David Rudisha ataongoza wanzake A.Kipketer na Fergusson Rotich kwenye mchujo kwe mbio za mita 800. Wote wana matumani ya kufuzu
  • Gathimba pia atashiriki kwenye matembezi ya kilomita 20 kuanzia saa mbili usiku.