Kilabu Taifa

Rashid Mohammed Mwamkondo na Kaka D maarufu Duncan Rachuonyo wanakuuliza ”unaikamatia wapi?” Kaa nao uwajue…uwatambue kila usiku wa Ijumaa hadi Jumapili. Furaha mpaka kileleni!