Justin Muturi achagukiwa tena spika wa bunge la kitaifa

Spika wa Bunge la kitaifa Justin Muturi amechaguliwa tena kuendelea kuhudumu A�kama Spika wa bunge hilo la Kitaifa. A�Hii ilikuwa baada ya Muturi kuzoa jumla ya kura 220 dhidi ya mpinzani wake Dr.Noah Winja ambaye alipata kura moja. Mbunge wa Kuressoi kaskazini Moses Cheboi alichaguliwa bila kupingwa kuwa Naibu wa Spika wa Bunge hilo la Kitaifa. Hata hivyo wajumbe wa upinzani walisusia zoezi hilo muda mfupi baada ya kaupishwa kwao.