Jeshi La Nigeria Lawasaka Wasichana Watatu Waliotekwa Nyara Na Kundi La Wahalifu

Polisi nchini Nigeria wanawatafuta wasichana watatu chipukizi walioshikwa mateka na genge la wahalifu waliokuwa na silaha kali viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo,Lagos.Visa vya utekaji nyara vimekithiri katika mji wa Lagos,lakini hii ni mara ya kwanza kwa uteji nyara kuteklelezwa kwenye shyule ilio mjini.Wasichana hao walishikwa mateka kutok shuleA� ya upili ya mseto siku ya jumatatu jioni.Kisa hicho kinafwata kingine kilichotokeaA� karibu miaka miwili iliopita katika shule moja ya wasichana ya Chibok,kaskazini magharibi ya Nigeria ambacho kilitekelezwa na wanamgambo wa Boko Haram wanaopigania kubuni taifa la kiislamuA� klatika sehemu hiyo.