Jeff Mwangemi

Jeff Mwangemi a.k.a Kijana wa Zamani ni mtangazaji wa miaka mingi nchini Kenya.

Anajulikana kwa miziki ya Reggae kutoka saa nane hadi saa kumi jioni kila siku ya wiki.

Jiunge naye pia kila Jumamosi kwenye kipindi cha a�?Rabarabaa�� kuanzia saa nne asubuhi.

Hana mfano wala mpinzani!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *