Mwanzilishi wa kanisa ajiita Mungu Zimbabwe

Mwanzilishi wa kanisa moja nchini Zimbabwe, Given Dube aliye na umri wa miaka-27 alizua taharuki nchini humo alipodai kuwa yeye ni Mungu na kwamba Yesu hatarudi tena. Dube, ambaye ni mwanzilishi wa kanisa la A�a�?Umuzi ka Nkulunkulu (House of god) lililoko Kusini mwa Zimbabwe alikuwa amewaarifu waumini wake kumuita yeye Mungu, jina ambalo wamekuwa wakimuita hadi sasa.