George Waka

Mtangazaji mwenye uzoefu wa spoti hususan kabumbu na mchanganuzi wa soka kwenye Redio na Televisheni, katika shirika la utangazaji la KBC.

Yeye hujihusisha na kipindi cha a�?Chabanga Chabangaa�� ambacho huwa kila siku ya wiki naa��Ukumbi wa Spotia�� kila Jumamosi .

Waka alisomea utangazaji kutoka ‘Kenya Institute of Media and Technology’ jijini Nairobi.

Kupitia utangazaji ameweza kukuza vipaji vya vijana wenye malengo ya kuzamia kwenye fani ya utangazaji wa spoti.

Waka anapenda sana kutazama mchezo wa soka, kusafiri na kujumuika na marafiki.

Ungana naye kwenye mitandao ya kijamii Facebook: Wawaka Kisporti na Waka au Twitter @georgerwaka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *