Cynthia Anyango

Cynthia Anyango ni mtangazaji wa kipindi cha 'Zinga la Asubuhi' na alijiunga na Radio Taifa mwaka wa 2011. Yuapendwa sana na mashabiki hususan kutokana na kicheko chake cha kuvutia. 

Cynthia, maarufu kama Cynthy Cynthy pia ni msomaji hodari wa taarifa za habari kwenye redio kwa lugha ya Kiswahili. Yeye hupenda sana nyimbo za 'Bongo' na 'Bango'.  

Ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi. 

Mfuate kwenye Twitter @Cynthy_Anyango au Facebook Cynthia Anyango aka Cynthy Cynthy.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *