Bondia Peter Mungai amefuzu kwa robo fainali ya michezo ya Olimpiki jijini Rio,

PETER-MUNGAI-WARUI

Bondia Peter MungaiA�A�wa humu nchini amefuzu kwa robo fainali ya michezo ya Olimpiki jijini Rio, baada ya kumshinda Lyu Bin wa Uchina katika pigano la uzani mwepesi jana usiku katika ukumbi wa Riocentro. Ushindi wa Mungai ulijiri saa 24 baada ya bondia mwenzake Rayton Okwiri kufuzu kwa robo fainali baada ya kumlemea Andrei Zamkovoi wa Urusi.A�A�MungaiA�A�sasa atachapana na Joahnys Argilagos wa KyubaA�A�robo fainalini kesho saa kumi na moja jioni.A�

A�

A�