Athman Hoka Mwahoka

Hujiita Mejjah! Sauti yake nzito na udadavuzi wa masuala ya jamii. Kila jioni saa mbili za usiku hadi saa sita wakiwa na Double M. Huchambua na kukuchanganulia masuala kadhaa kama vile Chozi la Huba na mengineyo…Kaa naye!