Aliyekuwa Mgombea Wa Rais Uganda Kizza Besigye Akamatwa Kwa Mara Ya Nne

Mgombea urais wa chama cha Forum for Democratic Change nchini Uganda Dr Kizza Besigye jana alilala kwenye seli katika kituo cha polisi cha Naggalama katika wilaya ya Mukono baada ya kukamatwa alipojaribu kuondoka nyumbani kwake kwenda katika ofisi za Yume ya uchaguzi. Besigye alisema alitaka kuchukua tangazo la matokeo ya uchaguzi kutumia katika kesi ya kupinga uchaguzi. Sasa amekamatwa kwa mara ya nne katika muda wa wiki moja.A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A� Alidai kwamba karatasi za kupigia kura zilizowekwa alama tayari na kubadilishwa kwa matokeo kabla ya kufikia katika kituo cha kitaifa cha kuhesabia kura katika kumpendelea Rais Museveni vilifanyika kwenye nyumba moja katika barabara ya took place Naguru Hill.A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A� Dr Besigye alipinga matokeo ya uchaguzi wa Februari 18, yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi mwishoni mwa wiki yaliyoonyesha kwamba mgombea wa chama kinachotawala cha NRM Yoweri Museveni alishinda kwa asilimia 60.7 ya kura ilhali Dr Besigye alipata asilimia 35 ya kura.A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A�A� Polisi walikuwepo katika miji tofauti tofauti wakati na baada ya uchaguzi huo. Inspekta Jenerali wa polisi Jenerali Kale Kayihura alisema Dr Besigye si mtu maalum akiongeza kwamba kiongozi huyo wea upinzani hakuzingatia hitaji la kumtaka awafahamishe polisi siku tatu kabla kwamba atakwenda katika ofisi za Tume ya uchaguzi. Alisema kiongozi huyo wa upinzani ambaye bado anazuiliwa ataachiliwa huru ili arejee nyumbani kwake.A� A� A� A� A� A� A� A� A� Olusegun Obasanjo, alitekuwa Rais wa Nijeria, ameihimiza serikali na upinzani huko Uganda wajizuie baada ya uchaguzi huo kupingwa. Obasanjo alikuwa jijini Kampala kama kiongozi wa kundi la uchunguzi la mataifa ya jumuiya ya madola, na aliishauri serikali kuondoa vikwazo kwa viongozi wote wa kisiasa ili kuruhusu kuwepo kwa mazingira ya kufanya mazungumzo.