Ali Salim Manga

Unamtambua kwenye kipindi cha WAJUE WANAMUZIKI akiwahoji wanamuziki mbalimbali. Yeye ni mtangazaji wa muda mrefu. Sauti yake ya ninga huwavutia mashabiki na wasikilizaji wake ulimwenguni kote. Unazikumbuka enzi zake akiwa na mtangazaji mwenza mahiri Jack Oyoo Sylivester. Aisee! Usipime!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *