Ajali Za Bodaboda Nchini Zaripotiwa Kuongezeka

Serikali inafahamu kuhusu ongezeko la ajali nchini zinazohusisha wahudumu wa bodaboda. Naibu mwenyekiti wa kamati ya Senate kuhusu uchukuzi na barabara Judith Sijeny aliliambia bunge hilo kwamba serikali inawahamaisha makamanda wa trafiki katika kaunti kupitia kwa halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani, NTSA kuhusu haja ya wahudumu hao kutii kanuni za usalama barabarani katika kaunti wanakohudumu. Seneta Sijeny alikuwa akijibu taarifa iliytafutwa na seneta wa Kirinyaga Daniel Karaba. Karaba alitaka taarifa kuhusu ujenzi wa barabara ya Makutano-Ngurubani-Kimbimbi-Samson Corner iliyo katika hali duni. Hata hivyo maseneta walidai kwamba ajali nyingi zinazohusisha magari na pikipiki zinasababishwa na kukaidi kanuni za trafiki wala sio ukosefu wa uhamasisho. Seneta wa Bungoma Moses Wetangula who is also the senate Minority Leader reminded the House that the late John Michuki who was then the Minister of Transport had injected sanity in the transport sector within two months of his appointment.